Back

Help & Support

Kila unachohitaji kujua kuhusu Bunsell — jinsi ya kuanza, tools zetu, na jinsi ya kupata msaada.

Kuanza

Hatua za kwanza kwenye Bunsell

Tools

Zana zote na kazi zake

Maswali

Majibu ya maswali ya kawaida

Wasiliana

Tuma ujumbe kwa timu yetu

Kuanza na Bunsell

Hatua nne za kuunda kitu chako cha kwanza

1

Fungua akaunti bure

Bonyeza Sign up na ujaze jina, email na password. Ni sekunde 30 tu — hakuna malipo wala kadi ya benki inayohitajika.

2

Chagua tool unayohitaji

Kwenye home page utaona tools zote. AI Chat kwa maswali na mazungumzo, Website Builder kwa kuunda website. Tools zenye alama ya Soon bado ziko kwenye maandalizi.

3

Eleza unachotaka

Andika kwa lugha ya kawaida — Kiswahili au Kiingereza. Mfano: Duka la nguo za wanawake Dar es Salaam linaloitwa Amina Fashion. AI itaandika code yote na kukujengea.

4

Pata link yako ya kudumu

Website ikikamilika inapublishwa moja kwa moja na unapewa link ya bunsell.com. Ukibadilisha kitu baadaye, link inabaki ile ile.

Tools za Bunsell

Zana zote na hali yake kwa sasa

AI Chat Live

Zungumza na AI kuhusu chochote — sayansi, biashara, afya, ushauri.

Website Builder Live

Unda website kamili ya kitaalamu kwa dakika chache.

Maswali yanayoulizwa sana

Majibu ya haraka kwa mambo ya kawaida

Tuma ujumbe

Timu yetu inajibu ndani ya masaa 24

Wasiliana nasi

Eleza tatizo au swali lako kwa undani ili tuweze kukusaidia haraka.

Emailsupport@bunsell.com
Simu / WhatsApp+255615866753
Muda wa kujibuNdani ya masaa 24