Website Builder

Describe your website — AI will build it

0
0

Notifications

Clear all
No notifications yet
?
✦ Tell me about your website
Building your website...
1
Analyzing your requirements
2
Designing layout and structure
3
Writing HTML, CSS and JavaScript
4
Optimizing and finalizing
Bunsell Website Builder
Writing code...
Lines: 0
Chars: 0
HTML
Bunsell Pro · Medium
Choose AI Model
✦ Bunsell ProBest
Most capable model. Best for complex websites.
Fast
Standard
Premium
⚡ Bunsell FlashFast
Quick responses. Great for simple requests.
Fast
Standard
Premium

📁 My Websites

No websites yet.
Build your first one!

Bunsell Website Builder inavyofanya kazi

Bunsell Website Builder inatumia akili bandia kuunda website kamili ya kitaalamu kwa dakika chache. Hauhitaji ujuzi wa coding — eleza tu biashara yako.

1

Jaza taarifa za biashara yako

Andika jina la biashara, unachofanya, aina ya website, na chagua rangi ya brand yako. Kisha bonyeza Build My Website.

2

AI inaandika code moja kwa moja

Utaona code ikiandikwa mbele yako kwenye terminal — HTML, CSS na JavaScript. Website inajengwa kwa sekunde chache.

3

Website inapublishwa yenyewe

Ikimaliza, website yako inawekwa live kwenye bunsell.com na unapewa link ya kudumu unayoweza kushare na mtu yeyote.

4

Badilisha wakati wowote

Andika unachotaka kubadilisha kwenye chat — mfano "ongeza sehemu ya bei" au "badilisha rangi kuwa bluu". AI itasasisha website na link yako haitabadilika.

5

Websites zako zote zinahifadhiwa

Bonyeza icon ya folda 📁 juu kulia kuona websites zote ulizounda. Kila moja ina mazungumzo yake na kumbukumbu zake — unaweza kurudi kuiendeleza wakati wowote.

💡 Vidokezo vya kupata website nzuri:
  • Eleza biashara yako kwa undani — mahali, huduma, wateja wako
  • Taja sehemu unazotaka: bei, timu, maoni ya wateja, ramani
  • Chagua "Deep" kwenye model settings kwa website kubwa
  • Unaweza kuomba mabadiliko mara nyingi upendavyo